Friday, December 14, 2012

AMLAWITI MTOTO

Bwana Ezron Mwansasu (50) mkazi wa Kibaha ametuhumiwa kumlawiti mtoto wa kiume (7) ambaye ni mtoto wa mke wake na yeye ni baba mlezi wa mtoto huyo,tukio hilo limetendwa na Bwana huyo mnamo tarehe 24 Novemba.
Baada ya kusomewa shitaka hilo mbele ya mahakama Bwana Mwansasu amekana shitaka hilo na kesi imehairisha mpaka Desemba 21 ambapo itatajwa tena .
Madakta wa Hospitali ya Tumbi Kibaha wamethibitisha kuwa mtoto huyo ametendewa kitendo hicho baada ya kumpima mtoto huyo.
Inasadikiwa Bwana huyo alikuwa anatenda tukio hilo mara kwa mara ila alikuwa anatoa vitisho kwa mtoto hyo kuwa asimwambie mtu

No comments:

Post a Comment