Thursday, December 6, 2012

TANZANIA USO KWA USO NA UGANDA LEO

Timu ya Tanzania bara Kilimanaro Stars leo itajitupa uwanjani kuvaana na timu ya Uganda katika mechi ya Nusu fainali.
Mechi hiyo itachezwa mnamo majira ya saa 12 jioni

No comments:

Post a Comment