Monday, January 21, 2013

MILLAD AYO ARUDI SALAMA KUTOKA SAMUNGE




HIVI NDIVYO ALIVYOSEMA

Good evening watu wangu, nimerudi salama kutoka SAMUNGE kwa Babu wa Loliondo! Asanteni kwa maombi, kunatisha na vita lakini Nilikua kwenye gari la polisi, yapo mengi ya kukwambia kupitia AMPLIFAYA ya CLOUDS FM, CLOUDS TV na millardayo.com one again, asanteni kwa maombi yenu watu wangu.

No comments:

Post a Comment