Thursday, January 17, 2013

RAISI AFUNGUA JENGO JIPYA LA SHREE HINDU MANDAL HOSPITAL JIJINI DAR ES SALAAM

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo hili jipya
Raisi akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa \hospitali ya Hindu Mandal
Raisi akiwahutubia wafanyakazi na viongozi wa Hospitali hiyo

No comments:

Post a Comment