Wednesday, January 9, 2013

ZIARA YA RAISI KIKWETE MKOANI TABORA

Raisi Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mawaziri wake,Mh.Magufuli,Mh.Mgimwa na Mh.Magembe




Raisi yuko makini kumsikiliza Meneja wa Tanesco Nzega akitoa maelezo

Raisi akipokea ripoti ya maendeleo ya wilaya ya Uyui kutoka kwa mkuu wa wilaya hiyo Mh.Lucy Mayenga

Ripoti ya wilaya ya Tabora mjini ikiwasilishwa kwa Raisi na mkuu wa wilaya hiyo Mh.Suleiman Kumchaya



Mh.Raisi akikata utepe kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya Tabora-Ndono

Mhandisi wa kichina naye hakuwa nyuma


Picha kwa hisani ya michuzi blog

No comments:

Post a Comment