Thursday, March 19, 2015

NAIBU WAZIRI WA AFYA AMTEMBELEA MTOTO BARAKA COSMAS KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA

Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dk. Steven Kebwe akiwa na  mtoto Baraka Cosmas(6) aliyelazwa Hospitali ya Rufaa kanda ya Mbeya baada ya kukatwa kiganja na watu wasiojulikana alipofika kumjulia hali


Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dk. Steven Kebwe akiwa sambamba na muuguzi Mkuu katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wakimjulia hali mtoto Baraka Cosmas(6) aliyelazwa Hospitali ya Rufaa kanda ya Mbeya baada ya kukatwa kiganja na watu wasiojulikana


Kwa hisani ya 
mbeyayetu.blogspot.com

No comments:

Post a Comment