Thursday, April 19, 2018

Wednesday, April 18, 2018

WAKULIMA WALIOTAPELIWA MILIONI 56 WAMEANZA KULIPWA PESA ZAO

Akamatwa kwa kumtupa mwanawe kutoka juu ya paa la nyumba Afrika Kusini


Raia mmoja wa taifa la Afrika Kusini ameshtakiwa mahakamani kwa unyanyasaji wa mtoto baada ya kumtupa mtoto wake wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja kutoka juu ya paa la nyumba yake wiki iliopita.
Mashtaka yake yalipunguzwa kutoka kwa jaribio la kutaka kuua , kulingana na mwandishi mmoja wa shirika la habari la eNCA aliyetuma ujumbe wa Twitter.
Mtu huyo mwenye umri wa miaka 38 alichukuliwa katika kanda ya video akimrusha mtoto huyo wakati wa maandamano dhidi ya uvunjanji wa mitaa ya mabanda katika mji wa pwani wa Port Elizabeth.

Kwa hisani ya BBCSwahili.com

YANGA HII WANATOKAJE SASA