Naibu Waziri wa Afya na ustawi wa jamii, Dk. Steven Kebwe akiwa sambamba na muuguzi Mkuu katika Hospitali ya Rufaa Kanda ya Mbeya wakimjulia hali mtoto Baraka Cosmas(6) aliyelazwa Hospitali ya Rufaa kanda ya Mbeya baada ya kukatwa kiganja na watu wasiojulikana
Kwa hisani ya mbeyayetu.blogspot.com |
No comments:
Post a Comment