Friday, September 30, 2022

YANGA PRINCESS YAINGIA MKATABA NA WATERCOM

Timu ya Yanga Princess leo imeingia mkataba na Kampuni ya Watercom kama mdhamini/mshirika wetu kupitia kinywaji chao cha Jembe Energy kwa kipindi cha mwaka mmoja.