Thursday, April 19, 2018
HESLB kuanza muhula mpya wa utoaji mikopo mwezi Mei
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya juu yafungua dirisha laa maombi ya mikopo kwa wanafunzi wanaotarajia kuomba mikopo.
Wanaotaka kuomba mikopo wameambia wajitayarishe kwa kuandaa nyaraka maalum zitakazowawezesha kupata mikopo.
Habari kwa hisani ya Azam Tv.
Wanaotaka kuomba mikopo wameambia wajitayarishe kwa kuandaa nyaraka maalum zitakazowawezesha kupata mikopo.
Habari kwa hisani ya Azam Tv.
Wednesday, April 18, 2018
Akamatwa kwa kumtupa mwanawe kutoka juu ya paa la nyumba Afrika Kusini
Raia mmoja wa taifa la Afrika Kusini ameshtakiwa mahakamani kwa unyanyasaji wa mtoto baada ya kumtupa mtoto wake wa kike mwenye umri wa mwaka mmoja kutoka juu ya paa la nyumba yake wiki iliopita.
Mashtaka yake yalipunguzwa kutoka kwa jaribio la kutaka kuua , kulingana na mwandishi mmoja wa shirika la habari la eNCA aliyetuma ujumbe wa Twitter.
Mtu huyo mwenye umri wa miaka 38 alichukuliwa katika kanda ya video akimrusha mtoto huyo wakati wa maandamano dhidi ya uvunjanji wa mitaa ya mabanda katika mji wa pwani wa Port Elizabeth.
Kwa hisani ya BBCSwahili.com
Tuesday, April 17, 2018
Subscribe to:
Posts (Atom)