Leo Asubuhi Pametokea ajali katika stand ya mabus makubwa
yaendayo mikoa pale ubungo baada ya ukuta wa Sehemu ya kuegeshea magari
kuangukia magari zaidi ya ushirini yaliyokuwa yamepark sehemu ya parking ya
kusubiria abiria ndani ya stand hiyo, imereportiwa kuwa kuna watu wawili wamejeruhiwa..Chanzo
cha ajali hiyo ni mkandarasi wa aliyekuwa anabomoa ukuta huo bila kuchukua
taadhari..Habari na picha zaidi zitawafikia baadae.
No comments:
Post a Comment