Msimamo wa Ligi kuu Tanzania bara Mpaka leo 03.12.2024,Azam FC wamekaa kileleni mwa ligi hiyo ,akifuatiwa na Simba SC,Azam wanaongoza ligi hiyo huku wakiwa wamecheza michezo 13 na kukusanya alama 30 na Simba amecheza michezo 11 huku akijizolea alama28.
Taarifa zinaeleza kuwa chama cha mapinduzi kimeongoza uchaguzi huo katika kata na vijiji vingi kikifuatiwa na chama cha demokrasia na maendeleo.Baadhi ya viongozi wameendelea kuapa.