Thursday, January 31, 2013
BREAKING NEWSSSS!!!!!
Jahazi SUNRISE ambayo ilikuwa ikitokea Mkoani Tanga kulekea visiwani Zanzibar ikiwa na abiria 32 imezama eneo la Nungwi huku jitihada za kuwaokoa abiria hao zikiendelea kufanywa na maafisa wa uokoaji mpaka sasa.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment