HOJAYA DHARULA YA UVAMIZI KISIWA CHA UKEREWE ILIYOWASILISHWA
NA MBUNGE SALVATORY MACHEMLI WA UKEREWE KWA TIKETI YA CHADEMAIMETUPILIWA MBALI NA SERIKALI.
SERIKALI KUPITIA KWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI MH.SHAMSI VUAI NAHODHA IMEKANUSHA HOJA HIYO KWA KUSEMA KAULI HIYO HAINA
UKWELI WOWOTE ILA KULIKUWA NA OPERATION YA MAFUNZO YA VITENDO VISIWANI HUMO,PIA AMESEMA
KUTANGAZA TAARIFA AMBAZO HAZIFANYIWI UTAFITI WA KUTOSHA INAWEZA KUSABABISHA
KUTOELEWANA KATI YA NCHI NA NCHI .ALISEMA KUWA ASKARI KUTOKA NCHI JIRANI ZA
KENYA NA UGANDA KUINGIA KATIKA KISIWA CHA UKEREWE NA KUFANYA OPERESHENI YA
KUPIGA WANANCHI HAZINA UKWELIU WOWOTE.
No comments:
Post a Comment