Watu 17 wamefariki
dunia katika ajali iliyohusisha lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za
usajili T198CBQ na Noah ya abiria yenye namba za usajili T232BQR
iliyotokea jana usiku katika kijiji cha Nsalala mkoani Shinyanga
kwa hisani ya ITV
No comments:
Post a Comment