TAIFA STARS YAIGALAGAZA CAMEROON
Baada ya mchezaji wa Tanzania kukosa penati ambayo Watanzania walitegemea ndio ingewapa ushindi katika mchezo huo.Matumaini ya Watanzania yakafufuka baada ya Gili lilifungwa kiufundi na mchezaji wa kimataifa anayechezea Klabu ya TP MAZEMBE,Samatha na mpaka Mwishi wa mchezo huo ubao ulikuwa ukisomeka Tanzania1 Cameroon 0,Vijana hao wanastaili Pongezi za Hali ya juu
No comments:
Post a Comment