Moto umetokea jijini Dar maeneo ya Posta katika jengo moja ambalo
wanaishi watu. Mwandishi wetu Zainab Chondo aliyekuwapo katika tukio
ametuambia kwamba ghorofa hiyo ni mali
ya NHC, na moto huo umeharibu jengo lenyewe na kuunguza vitu vilivyokuwa
ndani. chanzo hakijajulikana, endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi.
No comments:
Post a Comment