HADHI YA PALESTINA YAPANDA UMOJA WA MATAIFA
Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya na kupitishwa kuboresha hadhi ya Palestina.Mkutano 193 wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa walipiga kura na kuipa Palestina hadhi ya kuwa mwanachama mwaangalizi, matokeo ambayo yalikuwa sana yanatarajiwa.
No comments:
Post a Comment