Thursday, November 29, 2012

MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA MPYA


Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imeanzisha huduma mpya kwa watoto wanaozaliwa kabla ya muda.
Huduma hii ina miezi minne tu sasa tangu ianzishwe hospitalini hapo na inaitwa kangaroo.Huduma hii inamuezesha mtoto aliyezaliwa kabla ya muda kuweza kupata joto analostahili.Huduma hii hutumika kwa mama kufungwa mtoto kwa kitambaa maalum kwenye tumbo lake mfano wa mnyama Kangaroo

1 comment:

  1. Haina madhara kwa mtoto kweli maana binadamu tofauti na kangaroo!!

    ReplyDelete