Naibu katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na
Maendeleo CHADEMA Zitto Kabwe amesema hakuna mgogoro ndani ya chama
chake kama inavyoelezwa isipokuwa kuna watu wachache ambao wanataka
kugombanisha viongozi wa CHADEMA.
Amesema hayo jana mjini Kigoma wakati akihutubia wananchi wa mkoa wa Kigoma kwenye mkutano wa hadhara na kubainisha kwamba CHADEMA ni wamoja isipokuwa kuna watu wachache ambao wamekuwa wakieneza chochoko.
Zitto ambaye pia ni mbunge wa Kigoma kaskazini ameongeza kuwa hata kama kungekuwa na mgogoro ndani ya chama wataumaliza kwa mujibu wa katiba ya chama hicho.

No comments:
Post a Comment