![]() |
Pikipiki ikiwa chini baada ya kugongwa na gari ndogo Toyota corrola na baadae kugonga Roli lililokuwa limesimama |
![]() |
Kwenye picha ni abiria aliyekuwa amepakiwa kwenye pikipiki iliyopata ajali maeneo ya Sokota,abiria huyo alikuwa amepata majeraha meneo ya kichwani |
No comments:
Post a Comment