Mh.Raisi akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi |
waziri wa Mambo ya ndani Nchimbi akimkabidhi Raisi kitambulisho cha kwanza |
Waziri Nchimbi pia alimkabizi Mke wa Raisi Mama Salma Kikwete kitambulisho |
Raisi akimkabizi kitambulisho cha utaifa aliyekuwa Raisi wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.A.Mwinyi |
Aliyekuwa Raisi wa awamu ya Pili Mh.B.Mkapa akipokea kitambulisho chake kutoka kwa Raisi |
Aliyekuwa raisi wa zanzibar Mh.Karume akikabidhiwa kitambulisho chake |
Makamu wa kwanza wa raisi Zanzibar Mh.Maalim Seif akipokea kitambulisho kutoka kwa Rais.JKikwete |
Askofu mkuu wa KKKT akipokea kitambulisho kutoka kwa Rais |
Ilikuwa zamu ya Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kupokea kitambulisho chake |
Profesa Limbumba naeye alikabidhiwa cha kwake |
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dk.Dau akipokea Kitambulisho chake |
Mkurugenzi Mkuu wa PPF akipokea kitambulisho chake |
No comments:
Post a Comment