Monday, February 4, 2013

BREAKING NEWSSSSSS!!!!!!!

Moto umetokea katika maduka yaliyoko kituo cha mabasi Mwenge,Habari zilizotufikia ni kwamba kikosi cha zimamoto,jeshi laPolisi na kikosi cha Tanesco vipo katika eneo la tukio wakijaribu kuzima Moto huo

No comments:

Post a Comment