Gari dogo aina ya Toyota colora lenye namba T890cas
limegonga watoto wawili ndugu waliokuwa wakitoka shuleni.watoto hao walikuwa
wakisoma katika shule ya msingi sabasaba.miili ya watoto hao ilipelekwa
hospitalini kwa ajili ya kuhifadhiwa.Dereva aliyekuwa akirndesha gari hilo
alikimbia baada ya kupata upenyo
No comments:
Post a Comment