Msanii wa vichekesho wa hapa Bongo ambae pia ni mwanamuziki wa kizazi kipya, Kitale ambae habari kamili kutoka kwake ni kuwa msanii huyo kwa sasa ameamua kutangaza rasmi kuwa ameamua ''kuoa''.
Kitale ambae pia alikuwa ni rafiki wa karibu wa marehemu Sharo Milionea
ameamua kufanya hivyo kwa sababu ya mikasa mingi aliopitia katika
maisha yake, hivyo amejipanga vya kutosha kuhusiana na maamuzi hayo na
kwamba atafunga ndoa hiyo jumapili hii.
Source:gongamx.com
No comments:
Post a Comment