DIWANI HATIANI
Jeshi la polisi limewakamata watu kumi na tano
akiwemo diwani mmoja wa kata ya Mugango wilaya ya Butiama kwa tiketi ya
chama cha mapinduzi CCM kuhusiana na mauaji ya kinyama na kikatili
ambayo yameibuka hivi karibuni mkoani Mara hasa katika wilaya za Butiama
na Musoma.
No comments:
Post a Comment