Jana asubuhi Eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi
la abiria la 'Bunda Express' lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma
kuelekea Mwanza muda wa saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira
yanaonesha kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa
majeruhi na mvua kubwa ilikuwa ikinyesha.
No comments:
Post a Comment