Wednesday, January 9, 2013

OMARY OMARY KUZIKWA LEO

Msanii wa Muziki wa Mchiriku Omari Omari aliyefariki dunia Jumanne wiki hii anatarajiwa kuzikawa leo katika makaburi ya Maganga, Temeke Mikoroshini Jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment