HIVI NDIVYO ALIVYOSEMA
Good
evening watu wangu, nimerudi salama kutoka SAMUNGE kwa Babu wa Loliondo!
Asanteni kwa maombi, kunatisha na vita lakini Nilikua kwenye gari la polisi,
yapo mengi ya kukwambia kupitia AMPLIFAYA ya CLOUDS FM, CLOUDS TV na
millardayo.com one again, asanteni kwa maombi yenu watu wangu.
No comments:
Post a Comment