Friday, December 14, 2012

MHONGO ASEMA UMEME HAUTAPANDA BEI

Waziri wa nishati na madini ameseme bei ya umeme ambayo Tanesco inataka iongezwe haitaongezwa.
Amesema hata maombi hayo yakifika Wizarani kwake hataipitisha maana yeye ndio ana weza kukubali au kukutaa kuipitisha maombi hayo

No comments:

Post a Comment