Tuesday, January 15, 2013

KUTOKA KWA SPIKA ANNE MAKINDA



Spika asiwe mbunge, mawaziri wasiwe wabunge...!

- Ashauri Wakuu wa mikoa na wilaya nao wasiwe wabunge.
- Apendekeza Ibara ya 67 ya Katiba ya sasa ifanyiwe marekebisho ili kulinda demokrasia. Ibara hiyo inasema ili mtu awe mbunge lazima atokane na chama cha siasa, sasa Katiba Mpya ikataze kuwavua uanachama wabunge ambao wamechaguliwa na wananchi hata kama wanatokana
na vyama vya siasa

Source:Jamii Forum

No comments:

Post a Comment