Rais mpya wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, anasema kundi la
wanamgambo wa Al Shabab limeshindwa kijeshi.
Serikali ya Somalia imekuwa ikiimarisha utawala wake, na kudhibiti nchi hiyo
ikisaidiwa na wanajeshi wa Umoja wa Afrika. Kabla ya sasa, Somalia ilikuwa
haijawa na serikali rasmi kwa zaidi ya miaka 20.Hassan Sheikh Mohamud alikuwa raisi wa Somalia mwezi Septemba mwaka huu.
No comments:
Post a Comment