Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga, kupitia chama chake ODM
wametia saini makubaliano ya kuunda muungano wa kisiasa na Makamo wa Rais
Kalonzo Musyoka ikiwa ni maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa taifa hilo wa Machi
mwakani.
Huu utakuwa muungano wa pili kabla ya tarehe ya mwisho (04-12-2012)
iliyowekwa na msajiri wa vyama vya siasa iliyotaka vyama hivyo viwe
vimekamilisha taratibu za kisheria za muungano wa vya muungano wao katika siku
tisini.Hii ni baada ya kushuhudia muungano mwingine kati ya Uhuru Kenyatta na William Ruto mapema wiki hii.
No comments:
Post a Comment