Raisi Jakaya Mrisho Kikwete Jana katika maadhimisho ya Sherehe za Uhuru wa Tanzania bara amewatunukia nishani watu kutoka makundi mbalimbali ya jamii.
Mmoja wa waliotunukiwa nishani hizo ni Bi.fatma Baraka Khamisi "Bi Kidude" Nishani ya Sanaa na Michezo
 |
Raisi J.K akimvisha nishani Bi Kidude.Picha kwa hisani ya Mchuzi Blog |
|
No comments:
Post a Comment