Friday, December 7, 2012

KIMBUNGA CHAATHIRI UFILIPINO

Baadhi ya madhara yaliyotokea
Zaidi ya watu mia mbili sabini wamethibitishwa kufariki katika kimbunga kikali kinachoendelea kusababisha uharibifu kusini mwa Ufilipino.

Wengine wengi hawajulikani waliko. Nusu ya walioathiriwa walikuwa ni wakaazi katika maeneo ya milima walioathirika na maporomoka ya udongo baada ya kuyakimbia makaazi yao ili kwenda kwenye maeneo yalio salama.

No comments:

Post a Comment