Friday, December 21, 2012

LULU APATIWA DHAMANA

Msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael(Lulu) ameachiwa kwa dhamana na Mahakam kuu nchini,msanii huyo anatuhumiwa kumuua msanii mwenzake Steven Kanumba.Kuachiwa kwa dhamana kwa Lulu kumekuja baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka mkuu(DPP) kubadilisha mashtaka ya msanii huyo kutoka kesi ya mauaji hadi kuua bila kukusudia.
Kwa kubadilishiwa mashtaka hayo hata kama akipatikana na hatia hata pata adhabu ya kunyongwa

No comments:

Post a Comment