Uwanja wa kimataifa wa ndege wa Songwe umezinduliwa rasmi na kuanza kutumika baad ya matengenezo ya muda wa miaka 11.
Uwanja huo umezinduliwa na mkuu wa wilaya Chunya Bw.Deodatius Kinawilo na amewataka wananchi kutumia fulsa hiyo kujiinua kiuchumi na kibiashara .
Amesema fursa kubwa kwa wananchi wa Mbeya ni biashara ya mboga na maua ambayo ina soko kubwa nchi za ulaya.
Pia ametaka kuboreshwa kwa miundo mbinu kama barabara na nyumba za kulala wageni.Uwanja huo una uwezo wa kutua ndege 4 kwa wakati mmoja.
Umejengwa kwa gharama ya shilingi millioni 100
No comments:
Post a Comment