Friday, December 21, 2012

TAIFA STARS KUIVAA CHIPOLOPOLO KESHO

Mechi kati ya Taifa Stars na mabingwa wa Afrika Chipolopolo itachezwa kesho saa kumi jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment