Wednesday, December 5, 2012

AJALI NYINGINE YATOKEA MBEYA

Eneo la Makongorosi njini mbeya gari aina ya Fuso namba T 126 ARE limepata ajali kwa kupinduka.
Chanzo cha ajali inasemekana ni ubebaji wa mizigo kupita kiasi.
Gari hilo lilibeba mizigo zaidi ya uwezo wake pamoja na watu na hatimaye kupata ajali eneo hilo la Makongorosi.
 Katika ajali hiyo majeruhi zaidi ya 50 walikuwapo.

No comments:

Post a Comment