Tanzania Bara(Kilimanjaro Stars)inamsubiri mshindi kati ya Uganda na Ethiopia ambao wanakipiga leo(06-12-2012).
Kilimanjaro stars ilifuzu kuingia nusu fainali jana baada ya kuigalagaza Rwanda kwa mabao 2-0,Mabao
ya Amri Kiemba dakika ya 33 na John Bocco dakika ya 53 ndiyo
yaliyoifanya Kilimanjaro Stars itinge nusu fainali
No comments:
Post a Comment