Monday, December 10, 2012

SHIRIKI PROGRAMU YA VIJANA MWAKA 2013

Tunapenda kuwajulisha na kuwatangazia fursa za kushiriki katika program za vijana kwa mwaka 2013 katika nchi za Canada, Ireland, France, German, Kenya, Mozambique na hapa Nchini. Waombaji wawe na umri usiozidi miaka 25 na wawe na elimu ya kidato cha nne na kuendelea. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 31 Januari 2013. Tafadhali wajulishe vijana wengi katika mtandao wako. Ni vizuri sana wale walio tayari kutuma maombi mapema badala ya kusubiri tarehe za mwisho.

Kwa Maelezo na Fomu za kujiunga nitumie Email yako:gmpollo@gmail.com au louisnobby@gmail.com

Natanguliza shukrani,

No comments:

Post a Comment