Habari zilizofika muda huu zinasema kuwa msanii wa muziki wa mchiriku (Mnanda)aliyetamba sana kwa kibao chake cha kupata ni majaaliwa,amefariki dunia usiku wa kuamkia leo saa nane muda mfupi tu baada ya kutoka hospitalini.
Habari zinasema kuwa msiba upo nyumbani kwa Temeke Mikoroshini.Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi,Amina
No comments:
Post a Comment