Dereva wa basi la New Force,
Maneno Mbonde 39 mkazi wa Dar es salaam lililosababisha ajali 3.01.2013 eneo la
Nyororo na kukimbia baada ya ajali
dereva huyo alijisalimisha
kwa polisi jana baada ya kuwa anatafutwa na polisi.
katika ajali hiyo
majeruhi walikuwa 22 na waliopoteza maisha ni 3 katika ajali hiyo na haya ni
baadhi ya majina ya majeruhi hao
1.Andrew Muhondo
2.Sajabu Sanga
3.Isaka Sanga
4.Solla Mwampale
5.Rajabu Ally
6.James Michael
7.George Mawasengo
8.Emanuel George
9.Christina Geroge
10.Vick Mwakasonga
11.Agatha
12.Evellyn Allen
13.Tumso
14.Nuru
13.Anna
15.Agatha Mathew
16.Nassib Mkwama.
Majeruhi hao wamelazwa
hospitali ya Mafinga,hali zao zinaendelea vizuri
No comments:
Post a Comment